Swahili stringlengths 9 487 | sentiment stringclasses 2 values |
|---|---|
Taifa wamebadili miungu yao, ingawa siyo miungu? | Negative |
Yeye pia atakuwa taifa, naye pia atakuwa mkuu. | Positive |
"Saa (kufika kiama) imekaribia; na mwezi umepasuka. | Negative |
Au samaki wote wa baharini watakusanywa pamoja kwa ajili yao, ili kuwatosha? | Negative |
Namna kila mumoja wao alifikia kuwa rafiki ya Mungu inaweza kutufundisha nini? | Negative |
Je, unaweza kusema, "Ndiyo, nina uzima wa milele. | Positive |
Kisha mmoja wao akasema: "Na miongoni mwetu yupo Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) ambaye anajua yatakayotokea kesho. | Positive |
Na kwa msaada wa Mungu, Yusufu anawaambia maana ya ndoto zao. | Positive |
Mikono ya Yosefu mwenyewe ndiyo itakayofunga macho yako." | Positive |
Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. | Negative |
Ukiwa kijana, huenda nyakati fulani ukaogopa kufuata amri za Mungu. | Negative |
Akajibu, "Naam, na Imani ilikuwa ndani ya nyoyo zao kama milima." | Positive |
takasika; na wao humo watadumu. | Positive |
Yeye na wao walikuwa katika makabiliano ya kudumu maisha kati yao. | Negative |
Na huu ni mwezi wa toba hakika atakuwa amenisamehe. | Positive |
Na waulize habari za mji uliokuwa kando ya bahari. | Positive |
Ukweli wa kifo unafahamika kwa uongofu wa Quran. | Positive |
Kisha mikono ya wote walio pamoja nawe itatiwa nguvu." | Positive |
wavulana, nimepata code ya kazi kutoka hapa! | Negative |
Waumini hao tu ndio wangeingia mbinguni baada ya kifo, hii ina maana kuwa walikuwa wameokolewa. | Positive |
Tunashukuru kama nini kwa sababu ya ujumbe wa Mungu ulio katika kitabu cha Isaya! | Positive |
Atakula kila atakachokipata, na kama hatakipata, basi atakidai. | Negative |
Je, unajua kile ambacho waliwapa watu wengine? - Kilikuwa kitu bora zaidi ulimwenguni! | Positive |
naye atawapa Msaidizi Mwingine, ili akae nanyi hata milele." | Positive |
Kama mtoto na baba yake yeye alitumika pamoja nami katika kuendeleza habari njema." | Positive |
Au unadhani kwamba wengi wao wanasikia na wanafahamu? | Positive |
Kwa yakini zilikuwepo katika (kisa cha) Yuwsuf na kaka zake Aayaat (ishara, dalili, zingatio) kwa waulizao. | Positive |
Enyi mlio amini!Kwa nini mnasema msiyo yatenda? | Negative |
Jina la huyo mwanamume ni nani, katika New Zealand, na mimi husahau kila wakati? | Negative |
Wanangojea jingine ila kama yaliyotokea siku za watu walio pita kabla yao? | Negative |
Lau Tungelitaka, Tungeliyafanya ya chumvi kali chungu basi kwa nini hamshukuru? | Negative |
(Kwa kufanya kile unachokifanya sasa hivi, kujifunza neno la Mungu. | Positive |
Kisha mapepo yakasema, "Hebu tufanye jambo jipya. | Positive |
Basi huyo baba akagawanya mali yake kati yao. | Negative |
Wanangojea jingine ila kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao? | Negative |
Akiwa Chanzo cha uhai, atakuwa Baba ya wote watakaofufuliwa. | Positive |
Hata watenda-dhambi hufanya vivyo hivyo. | Negative |
hatataka shauri kwa mwenye hekima. | Negative |
na labda ndio sababu nitaondoka mara moja jua. | Negative |
Hao ndio maadui, basi tahadhari nao. | Negative |
Waambie wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi | Positive |
Akasema, Tangu utoto. | Positive |
Wanyama au ardhi na jua pia vilionekana kati yao. | Positive |
na jua hutambua wakati wake wa kutua. | Positive |
kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. | Negative |
Hata wale bora katika wafuasi wake hawakuweza kuonyesha imani kweli. | Negative |
Miji Itapatilizwa kwa Hukumu za Mungu Wakati umekaribia ambapo miji mikubwa itapatilizwa kwa hukumu za Mungu. | Positive |
Roger ana yake blog mwenyewe, pia! | Positive |
kuwahubiria Waisraeli lakini hawakuwa kumsikiliza. | Positive |
Ila sio kuingilia kumsaidia mmoja wao. | Negative |
(Allaah) Husema: "Je, ingekuwaje kama wangeuona Moto wangu!?" | Negative |
Hata wenye dhambi hufanya vivyo hivyo. | Negative |
Humo watakuwa na maskani ya kudumu, ndiyo malipo yao | Positive |
Katika nyakati za kale, watumishi washikamanifu wa Mungu walisema au kufanya mambo yaliyowaumiza wengine. | Positive |
Hakika yeye alidhani hatarejea. | Negative |
Na wakaenda asubuhi hali wanadhani kuwa wanao uwezo wa kuzuia (masikini). | Positive |
Je, hatutakuwa salama kwa kufuata kielelezo cha Baba na Mwana? | Negative |
Hauko peke yako; bado kuna watu wengi wanaomwamini Mungu. | Positive |
Wale wanaoyajua maisha ya Mtume watalifahamu hilo vyema zaidi. | Positive |
Po pote waishipo amekufanya wewe kuwa mtawala juu yao wote. | Positive |
Je, unafikiri kwamba upendo la Petro ulikuwa halisi wakati huo? | Negative |
hakika udongo (mchanga) ulio safi ni tahara ya muislamu hata kama hakupata maji kwa miaka kumi. | Positive |
Hawwaa (Amani iwe juu yake), yeye ndiye wa mwanzo kuipata. | Positive |
Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya. | Negative |
Na tulihitaji msaada kutoka mbinguni." | Negative |
Danieli atafufuliwa wakati wa ufufuo wa waadilifu | Positive |
Amri ya kwanza ya Amri Kumi inawataka watu kumwabudu Mungu wa kweli tu. | Negative |
hakuna waliobarikiwa kuliko ninyi, hili kundi la watu. | Positive |
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa, | Positive |
Basi akawakubali katika jambo hili, akawathibitisha kwa siku kumi. | Positive |
Alisema hivi: "Katika nyumba ya Baba yangu mna makao mengi. | Positive |
Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena. | Negative |
huu ndio utakuwa mwonekano wa umma wa Jua la haki. | Positive |
Nina wasiwasi kuhusu kupoteza muda wangu bora nchini Hispania sasa. | Negative |
Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au | Negative |
"Sisi pia tunaweza kuishi maisha mapya.") | Positive |
Nitafanya ukumbusho wao usahauliwe kabisa miongoni mwa wanadamu," | Negative |
"Si rahisi kuwa ndiwe wa mwisho wa aina yako katika sayari yetu. | Negative |
"Watu wanakuuliza kuhusu Saa. | Negative |
(Katika baadhi ya sehemu za Afrika, wanasema, 'Mke mmoja - tatizo moja. | Negative |
Tangu sasa na kuendelea utakuwa ukiwavua watu wakiwa hai." | Positive |
Mkutano na kuoa msichana wa Kichina ni kitu mimi kujua mengi kuhusu. | Positive |
"Wale wafanyao hayo (kuwapiga wake zao) si wabora wenu." | Negative |
Naam; si kwa njia ya watu wa Mungu kuishi humo, | Negative |
"Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. | Positive |
na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari. | Positive |
nayo jumuiya yao itaimarishwa mbele yangu; | Positive |
Iko wapi, basi, nyumba ambayo ninyi mnaweza kunijengea, na pako wapi, basi, mahali pa kupumzika kwa ajili yangu?" | Negative |
Na wana wa Amoni wakakusanyika kutoka miji yao, wakaja vitani. | Positive |
Je, utachagua kuwa miongoni mwa wenye haki? | Negative |
Na alikwisha wajieni Yusuf zamani kwa dalili zilizo wazi, lakini nyinyi | Negative |
Vivyo hivyo, watu wa Mungu leo hawafundishi maoni yao wenyewe. | Negative |
Unataka neno la wazi, rahisi, moja kwa moja kutoka kwa Bwana leo? | Negative |
Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, | Positive |
Watu kama hao wataishi milele katika mwangaza wa Mungu. | Positive |
Na labda ulipendezwa na baraka fulani za Ufalme wa Mungu za wakati unaokuja zenye zilizungumuziwa katika habari hizo. | Positive |
Kwa maana maagizo haya nikuagizayo leo, si mazito mno kwako, wala si mbali. | Positive |
(Suala si ndoa mbinguni, bali ni ufufuo. | Positive |
Kupitia hii, tunakuwa warithi wake, wale wanaorithi uzima wa milele, na mengi zaidi. | Positive |
Lakini Philo alipofafanua utu wa Mungu Mweza-Yote, alienda mbali sana na ukweli. | Negative |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.